Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


📌KIGAMBONI CHEKA
👉sqm 1 cash ni 23,000tsh
Unaweza fanya malipo Kwa muda wa miezi mi 3 kama utalipa cash
👉na kwa installment ni 25,000tsh
ambapo ukilipa kwa installment utalipia miezi 12
Ila utaanza kwa kulipa down payment ya 20%
💁🏻♂️(KWA MFANO UKILIPA KWA AWAMU)
👉kama kiwanja kina thamani ya 10million
Utalipia 2million kama 20% alafu
kiasi kilicho baki ambacho ni 8million utalipia kwa miezi 12
Viwanja vyenye dots vimesha chukuliwa
#kiwanja #cheka #kigambonicheka #dalali #eneo #trending #land #plots #kigamboni #avictown