Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI YA KIWANJA NI MILION NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI. Simu ziite📞0711677199/0744847199

Kwanini ununue kiwanja kwenye mradi wetu wa KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI !! ✨ Hapa kuna sababu za kufanya hivyo:

1️⃣ Mradi upo Katikati ya mji kabisa, Majirani wapo wa kutosha na wamejenga nyumba za maana.

2️⃣ Mradi uko karibu na barabara kuu itokayo Mji Mwema Kwend Buyuni, ni mita 500, hivyo kunakupa urahisi wa kufika kwako bila usumbufu na gharama kubwa.

3️⃣ Miundombinu bora: Mradi una huduma zote muhimu kama maji na umeme. Ukiachana na makazi bora, pia huduma muhimu za kijamii kama shule na hospitali zipo.

4️⃣ Mandhari ya kipekee na ya kifahari: Upepo Mwanana Toka baharini maana ni Km 1.5 Kwenda Ufukweni.

5️⃣ Viwanja vimepimwa kwa Ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunga Viwanja kuanzia viwili, vinne, sita na kuendelea inategemea na bajeti Yako.

6️⃣ Umbali kutoka Ferry mpaka KIMBIJI kwa Moris ni Km 35. Unapanda gari Moja toka Ferry zinazokwenda Buyuni unashukia KIMBIJI kwa Moris. Wakati wewe unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuta watu washachukua maeneo yao. Fanya maamuzi sahihi na umiliki kiwanja cha ndoto zako! Nipigie 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 10,000,000

VIWANJA VINAUZWA CHEKA KIGAMBONI Bei milioni 100767672719📱0767672719Viwanja vipo Cheka kigamboni Vi...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 105,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA ______________#location_kigamboni_mwembe_mdogo_______________Miundombinu Yake____b...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KIBADA MWELA KIGAMBONI VYUMBA VITATU Plot size ;...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 25,000

Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800🔴...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 785,000,000

PRIME RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE IN KIGAMBONI📍LOCATION : KIBADA , KIGAMBONI(9km kutoka daraja la ny...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 7,500,000,000

BISMILLAH🌺 KIGAMBONI KISARAWE 2 ENEO LA KIWANDA UKUBWA NI HEKA 21 BEI NI BILLION SABA POINT TANO (...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYU...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

📍KIGAMBONI KIMBIJI/MBUTU KICHANGANI👉BEACH PLOT 3 FOR SALE👉SQM 4900💰PRICE; 35 MILLION TSH✅SALES...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba inapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule na jiko Kodi 250k miezi 3 tu Kigamboni...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; MIKWAMBE CHUO, KIGAMBONI VYUMBA VITATU SEBULE DI...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; CHEKECHEA KIGAMBONI VYUMBA VITATUPlot size ; sqm...

House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 125,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI LOCATION; GEZA ULOLE KIGAMBONI NYUMBA ZIKO NNE (apartment...

Retail Space for Sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 68,500,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; MJI MWEMA KIGAMBONI VYUMBA VINNE NA FREM MBILIPl...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI MIKWAMBE NYUMBA YA VYUMBA 3 VYAKULALA STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOILE...

4 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYU...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 18,000,000

1.KWANI KISARAWE 2 (TWO) NI WAPI …..?Kisarawe 2 ni kigamboni kituo kinachofuata baada ya kibada weng...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

House For Sale Location:Kigamboni Kibugumo Documents:Sales Agreements 3 Bedrooms 1 MasterSeating Roo...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 24,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI DEGE -ECO VILLAGE📞📞0767053517 ◻️VIWANJA NI VYA MAKAZI◻️Umbali ni km 19 toka...