Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

🔥🔥🔥 OFA YETU BADO INAENDELEA.

📌Viwanja vinapatikana KIGAMBONI DEGE KICHANGANI, Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.

👉Ni pazuriiiipazurii, kumezungukwa na mji tayari. Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu🥂🍺😜) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

☑️Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5, Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji 🛺 mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

📞0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi. Wahi mapema viwanja Vimebaki vichache..

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI Location; KIBADA KIGOGO , kigamboni VIWANJA VIPO VIWILI VIMEFUATANA Plot ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥0767053517👉🏾UMBALI 30KM TOKA FERRY 👉🏾VIWANJA VIMEPIMWA/SUR...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 385,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KISOTA KIGAMBONI VYUMBA VINNE Plot size ; sqm 20...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 250k kwa mwezi Zipo kigambo...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 200k kwa mwezi Zipo kigambo...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 830,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KIBADA KIGAMBONI VYUMBA VINNEPlot size ; sqm 110...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 235,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA ______________#location_kigamboni_kibada _______________Miundombinu Yake____baraba...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; MIKWAMBE FUN CITY KIGAMBONI VYUMBA VINNE Plot si...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 59,500,000

SITE LOCATED AT GEZA ULOLE KIGAMBONI which is 📌14km from kigamboni ferry 📌15km from kigamboni dara...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Nyumba zinauzwa kigamboni kisiwani bei milioni 85 zipo 5👍

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

HOUSE FOR SALE// NYUMBA YA KUUZWA➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖📍Location : DEGE ECO VILLAGE , KIGAMBONI (12km fr...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

#HOUSE FOR SALE. #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KISIWANI KIGAMBONI Plot size ; mita sqm 400Aski...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

APARTMENT ZINAUZWA KIGAMBONI KISIWANI ML 85 ZIPO 5 CHUMBA MASTA JIKO KWAMWEZI KODI L.K 850 MTAA WA...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

📍KIGAMBONI KISOTA 👉KIWANJA KINAUZWA👉UKUBWA NI SQM 800👉KINA HATI YA WIZARA 💰BEI; MILION...