Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Tumevunja bei sasa!! Kwa MILIONI MOJA NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unapata kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORIS 0711677199/0744847199.

Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote pale. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee🤗

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea kulingana na bajeti yako. Viwanja ni tambarale na havikai maji.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Wakati wewe Bado unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakutana na neno la SOLD OUT 🤪 JAMANI SIMU ZIITEE 📞 0711677199 au 0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __KLM 1 KUTOKA LAMI __NYUMBA INA VYUMBA V3 VYAKULALA KIM...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

OFA OFA OFA OFA OFA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQm 500+ pamoja na HATI MILIK...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

OFA OFA OFA OFA OFA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQm 500+ pamoja na HATI MILIK...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

🏡 NYUMBA_INAUZWA – Kigamboni Mwembe mtengu 🏡✨ Vyumba 3 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa +...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

House for saleLocation kigamboni3 bedrom,sittin, N.kEneo sqm 400Price 75 millionKwa maelezo zaid☎️+2...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master mpya✅nyumba i...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

Nyumba inapangishwa inajitegemea Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko n k...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 24,000

OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya viwanja ipo Sehemu zifuatazo:1. KIGAMBONI DEGE. Cash ni 22,...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 24,000

OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya viwanja ipo Sehemu zifuatazo:1. KIGAMBONI DEGE. Cash ni 22,...

House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI __APARTMENT ZINAUZWA ZIPO 4__KILA NYUMBA MOJA INA __vyumba v2 kimoja mas...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni gezaulole 📍✅ Vyumba viwili kimoja master Sebule jiko ✅ Ndani ya fenc...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 30,000

NEW PROJECT IN KIGAMBONI, CHEKA - PRIME CITY PROJECT! ✨Your dream project is here, everything you’ve...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Ungindoni 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

🌟 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌟🏠 Vyumba 4 vyote Master (Self Contained)🛋️ Sebule ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 28,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Kisarawe 2️⃣---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

🌟 NYUMBA MPYA INAUZWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌟🏠 Vyumba 4 vyote Master (Self Contained)🛋️ Sebule ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya ...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ferry <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko ✅nyumba ...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani lami<> nyumba ina chumba kimoja master na jiko ✅...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 13,500,000

*KIGAMBONI CHEKA PRIME CITY PROJECT* 💫🌟✨🌟🌟✨SIFA ZA MRADI⏭️ 3.7 KM KUTOKA MAIN ROAD MPAKA SITE ....