Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


KARIBU MIRACLE REAL ESTATE COMPANY LTD.
Viwanja vyetu Vinapatikana Kigamboni Kimbiji karibu na Kiwanda cha NYATI CEMENT. Umbali kutoka barabara kubwa ni Meta 500 tu, kutoka baharini ni km 3. Viwanja vyetu nimepimwa, Viko tambarare vina ukubwa tofauti tofauti kuanzia SQM 500+ na kuendelea. Bei kwa sqm 1, ni Tsh 15000/= (SHILINGI ELFU KUMI NA TANO TU) cash. Ukitaka kulipa KID0GO KIDOGO, ni Tsh 18,000/= (Elfu 18 kwa mkopo.) Kwa muda wa miezi sita (6) Ofisi zetu zipo Makumbusho Bus Stand (MAKUMBUSHO COMPLEX FLOOR YA PIL) site visit: Siku ya kutembelea mradi ni kila siku na gharama ni elfu 20. AU TUPIGIE SIMU KWA NAMBA +255756897987 WHATSAPP +255756897987
HATI MILIKI KUPATA NI LAZIMA!!