Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


🌳CHEKENI FARM 1B - Fursa yako ya umiliki ardhi Kigamboni!
📍Ipo Kigamboni Dar - umbali wa 29km kutoka Ferry na 26km
kutoka Daraja la Nyerere.
👉Viwanja vinapatikana kwa kilimo cha mijini na makazi
💰Bei nafuu kabisa: 20,000Tzs kwa sqm tu!
Hii ni nafasi adimu ya kuwekeza karibu na jiji, mbali na kelele lakini karibu na huduma muhimu. Usiachwe nyuma - ardhi haizalishwi tena!
📞Wahi sasa uwasiliane nasi kabla havijaisha!


















