Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 18,000,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

1.KWANI KISARAWE 2 (TWO) NI WAPI …..?

Kisarawe 2 ni kigamboni kituo kinachofuata baada ya kibada wengine wanapaita kigogo ni Km 7 kutokea kibada stendi njia ya kwenda mwasonga au dar es salaam zoo hii barabara ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kabisa za kumwaga lami hivyo ni kimbilio la wateja wengi kwasasa kabla bei hazijapanda

2. KWANINI KISARAWE 2 NA SIO SEHEMU NYINGINE …?

Kwasababu ni karibu sana na ferry/ darajani na panafikika kirahisi , KISARAWE 2 ni umbali ya dakika 35 kutoka site hadi kufika ferry / darajani na hakuna foleni panafikika kirahisi ni Km 14 kutoka darajani/ ferry

3. BEI ZAKE ZIPOJE …?

Bei za kisarawe 2 ni shilingi elfu therathininkwa mita moja ya mraba (SQM 1 = 30,000) hivyo ukubwa wa kiwanja unaoutaka unazidisha mara mita moja ya mraba
Mfano ; SQM 600 (mita 30 kwa 20) unazidisha mara 30,000Tsh = 18M

4; UMILIKI WAKE UPOJE ….?

Viwanja vipo vinne vya swm 600, SQM 800, SQM 1200, SQM 2650, VYOTE VINA HATI KAMILI KITOKA WIZARA YA ARDHI.

5. MALIPO YAKE YAPOJE …?

Unaweza kulipa Cash (kwa mkupuo) au kwa awamu lakini utapewa mwezi mmoja wa kumalizia malipo.

6. SIKU YA KWENDA SITE NI LINI ..? NA OFISI ZENU ZIKO WAPI…?

Ofisi zetu zipo kigamboni kibada karibu na KIBADA GARDEN na kila siku tunaenda site.

7.MAWASILIANO
☎️0767894547
☎️0629894547

Dalali mfupi
dalali_kigamboni_mfupi
Dalali mfupi

Similar items by location

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Chumba Kimoja Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI GEZA ULOLE 🌴Fursa ya kipekee kwa wanaotafuta uwekezaji wenye tija! 💰...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI <> location tuangoma (stand)<> ukubwa wa eneo SQM 700✅HATI YA WIZALA<> pr...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada kisalawe II<> Ukubwa eneo SQM 720✅HATI YA WIZALA ◾️pric...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 8,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location mwembe mdogo <> ukubwa wa eneo SQM 400✅HATI YA WIZALA <> price...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada (CHEKECHEA)<> nyumba ina vyumba viwili kimoja mast...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko nzuri...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

SQM -350 BEI MILION 25 TSH (ENEO LA BIASHARAKIGAMBONI,KIBAD/KISIWAN

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🏠INAPANGISHWA📍Kigamboni Darajani Soweto🏠Vyumba Viwili kimoja master👉Apartment💰500,000/= kwa mwe...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 8,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJAVIWANJA VYETU VIMEPIMWA NA VINA HATIBEI INANZIA MILLION 8 KWA SQM 400YAAANI 20*...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

Nyumba inauzwa kigamboni kisarawe inavyumba v4 ukubwa wakiwanja Sqm 120 bei million 160 nipigie 0686...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 2,506,867,059.03

KIGAMBONI MIKWAMBE HEKA 3 ZINAUZWA BEI; BILIONI 2.5 0686705903

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

kodi laki 600,000 KIGAMBONINYUMBA INAPANGISHWA INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO. KIGAMBONI KISIWANI...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KODI LAKI 600,000 KIGAMBONINYUMBA INAPANGISHWA INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO. KIGAMBONI KISIWANI...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

600,000 KIGAMBONI=========NYUMBA INAPANGISHWA INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO. KIGAMBONI KISIWANI ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

kodi laki 600,000 KIGAMBONINYUMBA INAPANGISHWA INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO. KIGAMBONI KISIWANI...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada shangwe <> Ukubwa wa eneo SQM 1050✅HATI YA WIZALA◾️pric...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko✅nyumb...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000,000

#YARD FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada Kisalawe II<> ukubwa wa eneo ( HEKA 1 NA NUSU)✅HATI YA ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zi...