Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

OFA YETU BADO INAENDELEA.
Jipatie Kiwanja KIGAMBONI DEGE KICHANGANI Center!!
Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Pia ni Karibu na Hotel kubwa ya kitalii ya Aya Sophia Villa Kwa wale wanaopenda mazingira tulivu na kuenjoy na familia hapa panawafaa sana!!

👉Ni pazuriiii sana, watu wamejenga mijengo ya maana, Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu😜) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

☑️Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5 tu(Vimebaki 4) Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji 🛺 mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

📞0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 230,000,000

HOUSE 🏡 FOR SALELOCATION : KIGAMBONI SHANGWE ( KIBADA)SIZE : UKUWA WA SQUARE METRES 600DETAILS : NY...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

HAPA NI KIGAMBONI GEZA BLOCK 18 KIWANJA KINA HATI YA WIZARA SQR MITA 567 BEI MILIONI 28KIWANJA HAKI...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

HAPA NI KIGAMBONI GEZA BLOCK 25 NAKULETEA KIWANJA SQR MITA 1210KIWANJA KINA HATI YA WIZARA BEI MILIO...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

HAPA KIGAMBONI GEZA ULOLE BLOCK 24KIWANJA KINAUZWA UKUBWA WA SQR MITA 831KINA HATI YA WIZARA UPANDE...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza block 24📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; KIGAMBONI MWONGOZO NSSF ( mwongozo beach)👉Plot size: SQM 711Dimensions; mita 21 kwa mita ...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NEW APARTMENT MPYA KABISA KALI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIGAMBONI DARAJANI BEI LAKI 6 KWA MWEZI...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza block 18📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada block📍Umbal wa kilometer 8 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia um...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni kisotaKutoka ferry km 6Bei;MILION 90Ukubwa;SQM 890Call 0742121038

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 16,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni Kona ya chuoBei Milion 16Ukubwa;SQM 705Call 0742121038

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

*Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni**Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa-Nyumba ...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni Kona ya chuoBei;MILION 17Ukubwa;SQM 705Kutoka lami MITA 100Call 074212103...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DEGE Bei;MILION 170Ukubwa;SQM 774Call 0742121038