Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


*SIFA ZA MRADI*
- Mradi upo mita chache tu kutoka CHEKA STAND , unaingia upande wa Kushoto Kutokea Kigamboni .
- Mradi upo karibu na shule ya msingi ya AMANI GOMVU , takribani 100M kutoka shule iyo ya msingi .
- Mazingira ya mradi umezungukwa na makazi ya watu , na huduma za kijamii.
- Njia panda ya kuelekea AYA SOPHIA ndipo mradi ulipo.
- Malipo ya Cash 1 sqm kwa 25,000/=
- Malipo ya Installment 1 sqm kwa 30,000/= unaanza kwa kutanguliza asilimia 20% malipo ya awali.
- Malipo ya miezi 12 Kwa kulipa kidogo kidogo.
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅