Plots for sale at Kurasini, Dar Es Salaam


*Plot ya ekari 3.5 kwa ajili ya ICD inauzwa Kurasini*
📍 Karibu na Uhamiaji, kipo mita 700 kutoka Barabara ya Kilwa road
✅Viwanja vyote vina fence na geti
*Kiwanja kinafaa kwa matumizi ya Bandari kavu kwa sababu kipo karibu na Bandari ya Dar es Salaam*
✅Ukubwa wa kiwanja ekari 3.5 (PLOT 3, 4 na 6)
✅Document: Title Deed
*Bei $ 5.5 million mazungumzo yapo* CALL 0683491594,0716974073


















