Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam


MRADI MPYA WA VIWANJA MADALE MBOPO
VIWANJA VIPO TAMBARALE PIA VIPO KARIBU NA BARABARA
UKINUNUA KIWANJA UNAPATA NA HATI
BEI TSH MILIONI 4 KWA KIWANJA CHA 20 KWA 20 (SQM 400)
UNAWEZA KULIPA KIDOGO KWA MUDA WA MIEZI 6,8 MPAKA MWAKA
Viwanja vipo karibu na huduma za kijamii umeme, maji, hospitali, shule na barabara.
OFA Kupelekwa kuangalia viwanja bure
ofisi zetu zipo GOBA CENTRE
Wasiliana nasi: ☎️ 0678946593 Whatsapp
☎️ 0773171649 Whatsapp
Instagram: noble_real_estate_ltd