Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000
Project
Yes

TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA

ENEO LIPO ZINGA BAGAMOYO

📌 Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.

📌 Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.

📌 Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.

📌 Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

📌 Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

📌 Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH AFRKNA J...

House/Apartment for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 55,000,000

Haya maboss Apartments hizoo zinauzwa na Bank..Zipo Mbezi ya kimara kibanda cha mkaa manispaa ya ubu...

Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

VIWANJA! VIWANJA! VIWANJA!KIWANJA KINAUZWA;MAHALI; MBEZI LUIS.....UKUBWA; HEKARI 3.....HATI IPO SAFI...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

LODGE NYURI MNO INAUZWA MBEZI KWA MSUGURI####INA HATI YA WIZARA(Full tittle deed)÷÷÷VYUMBA 10 VYOTE ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH MASANA——...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

$ 600 per month

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPANDE W...

4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

$ 570,000

NEW HOUSE FOR SALE AT MBEZI BEACHASKING PRICE : USD 570,000WITH A CLEAN TITLE DEEDWith ;FOUR bedroom...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

LODGE INAUZWA MBEZI KWA MSUGURI DK 3 LAMI KWA MGUUINAVYUMBA 10 VYOTE NI MASTEER BEDROOM PIA INACHUMB...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿HII SIYO YAKUKOSA KABISA STAND ALONE YA NGUVU INAPANGISHWA Location: MBEZI KWA MSUGURIKODI 500,0...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT Z8NA PANGISHWA MPYA KABISA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA STEND YA MKOWA...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NEW APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE MBEZI MWISHO MWISHO 2KM BAJAJI NA BODA ZIPOBe...

Retail Space for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

FREM NZURI SANA KUBWA YA BIASHARA INAPANGISHWA IPO MBEZI BRBR YA GOBA NI HATU CHACHE KUTOKA SOKO...

4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

NYUMBA INA UZWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA -------SQMT 600--------SERVICE CHARGE 30,000/=BEI MILIONI 65-...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 750,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM ...

Retail Space for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

FREM NZURI SANA KUBWA YA BIASHARA INAPANGISHWA IPO MBEZI BRBR YA GOBA NI HATUA CHACHE KUTOKA SOK...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA LOCATION: #KIMARA_KOROGWE AU UNAWEZA PITIA #KIMARA_MWISHO #KODI 4...

Retail Space for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

FREM NZURI SANA KUBWA YA BIASHARA INAPANGISHWA IPO MBEZI BRBR YA GOBA NI HATUA CHACHE KUTOKA SOK...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000,000

PLOT CONER FOR SALEDAR ES SALAAM, TANZANIA Sqm 5800Location:mbezi beach juuEneo ni zuri sana lina ta...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,800,000

Stand aloneHouse for rent3roomsPrice 1,800,000KwamweziMalipo miezi 6Location mbezi beachUpande wachi...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#0742260844 #0657384670APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA KODI. 300,000/=X6SIFA ZA NYU...