Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APATIMENTI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 1,5USAFIL...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

PLOT NZURI SANA INAUZWAMBEZI MSUMIPLOT SIZE 400SQMUMILIKI-SERIKALI YA MTAA2KMS TOKA MADALE ROAD60M M...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kibanda cha mkaa km 2 usafiri upo bajaji na...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kwa msuguli dakika 10 kutembea mpaka home K...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

Apartiment house for rent nzuri kali Location mbezi kwa msuguli km3Kodi 130000 kwa mwezi na dalali m...

4 Bedrooms Furnished House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,400,000

LUXURY STAND ALONE FULLY FURNISHED HOUSE FORRENT VYUMBA VINNE VYA KULALA VYOTE MASTERIKO DAR ES SAAL...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA #APARTMENT FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAA KODI NI 200,000/=×6✨...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUAN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

0679 997610 APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFU...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUAN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUAN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUAN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO#VYUMBA...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI KIBANDA CHA MKAAUmbali: K...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

0679 997610 #APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTO...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

0679 997610 APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA #BEI NI 350,000/= X 6ITA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUAN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUAN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUAN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA #BEI NI 350,000/= X 6ITAKUA WAZI KUA...