Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

KODI 100000 K X4/5/6APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHOUPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MJINIUMBALI WA KUTOK...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

0679 997610 APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KW...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

KODI 100000 K X4/5/6APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHOUPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MJINIUMBALI WA KUTOK...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000,000

#FOR SALE 360,000,000/= 💥JUMBA LA KISASA KUBWA BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MIL...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAA KODI NI 200,000/=×6✨️CHUMBA KIKUBWA MASTER✨️SEBULE✨️JI...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000,000

#FOR SALE 360,000,000/= 💥JUMBA LA KISASA KUBWA BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MIL...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA LAMI -----Vyumba 3 vya kula...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kim...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

(600,000X6) MBEZIMWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGIS...

3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

NYUMBA MPYA INAUZWA IPO MBEZI MARAMBA BALABALA YA KINYELEZIBEI __________________ _MILLION 55I...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

(600,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗠𝗔𝗚𝗨𝗙𝗨𝗟𝗜APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA B...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 Tsh. 200k#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI KIBANDA CHA MKA...

1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kibanda cha mkaa km 2Kodi 200000 kwa mwezi ...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...