Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

โžก๏ธ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

โžก๏ธ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA ๐Ÿ“ธ.

โžก๏ธ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

โžก๏ธ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

โžก๏ธ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

โžก๏ธ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

โ—โ—โ— Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

๐—•๐—˜๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ช๐—”๐—ก๐—๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

๐—จ๐— ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐—๐—˜๐—–๐—ง ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ช๐—”๐—ก๐—๐—”

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ญ๐—ข ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ ๐—ง๐—จ๐—ฃ๐—œ๐—š๐—œ๐—˜ ๐—ก๐—”๐— ๐—•๐—” ๐—›๐—œ๐—ญ๐—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu ๐—ง๐—˜๐—ฉ๐—œ ๐—–๐—ข๐— ๐— ๐—˜๐—ฅ๐—–๐—œ๐—”๐—Ÿ ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—ž(๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ก๐—•๐—– ๐—•๐—”๐—ก๐—ž), ๐— ๐—•๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—•๐—˜๐—”๐—–๐—› ๐—ง๐—”๐—ก๐—ž๐—œ ๐—•๐—ข๐—ฉ๐—จ - ๐——๐—”๐—ฅ ๐—˜๐—ฆ ๐—ฆ๐—”๐—Ÿ๐—”๐—”๐— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

KIWANJA KIPO MTAA MZURI SANAKIPO KARIBU NA BALABALALOCATED AT MBWENI UBUNGO SQM 1200BEI ML 220 MAZUN...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION โ–ช๏ธŽโ–ช๏ธŽ MBWENI JKT BLOCK 6 KWA MAMA SAMIA SQUARE METERS โ–ช๏ธŽโ–ช๏ธŽ 872SALE โ–ช๏ธŽโ–ช๏ธŽ 220 MI...

2 Bedrooms House/Apartment for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

APARTMENTS FOR SALE ๐–จ๐–ช๐–ฎ ~ ๐–ฃ๐– ๐–ฑ ๐–ค๐–ฒ ๐–ฒ๐– ๐–ซ๐– ๐– ๐–ฌ๐–ณ๐—“๐–ฌ๐– ๐–ง๐– LI~ MBWENI - MPIJI_________________...

2 Bedrooms House/Apartment for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

APARTMENTS FOR SALE ๐–จ๐–ช๐–ฎ ~ ๐–ฃ๐– ๐–ฑ ๐–ค๐–ฒ ๐–ฒ๐– ๐–ซ๐– ๐– ๐–ฌ๐–ณ๐—“๐–ฌ๐– ๐–ง๐– LI~ MBWENI - MPIJI_________________...

2 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT YA VYUMBA VIWILI๐–จ๐–ช๐–ฎ ~ ๐–ฃ๐– ๐–ฑ ๐–ค๐–ฒ ๐–ฒ๐– ๐–ซ๐– ๐– ๐–ฌ๐–ณ๐—“๐–ฌ๐– ๐–ง๐– LI~ MBWENI __________________...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI SANA ๐Ÿก๐Ÿ˜๏ธ INAPANGISHWAMAHALI: MBWENI MPIJIINA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SE...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

27/4/2025Nyumba inapangishwa apartment Location mbweni APCKodi 600000 kwa mwezi Miezi 3Ipo ndani ya ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

27/4/2025Nyumba inapangishwa apartment Location mbweni APCKodi 600000 kwa mwezi Miezi 3Ipo ndani ya ...

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

Modern Luxury Home for Sale โ€“ Mbweni JKTLooking for a dream home that has everything you need?Sumaku...

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

NYUMBA YA KITAJIRI INAUZWA โ€“ MBWENI JKT USHUANI | TSH BILIONI 1.2Fursa ya kumiliki nyumba ya kisasa ...

4 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba-4-vyote mastaBei ml-1-5#0689138795whatsapp #0758998074๐Ÿ‘ˆ

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment Inapangishwa:(Zipo Mbili Tu kwenye fensi) Location :: MBWENI MOGABei yake :: 500,000Tsh k...

4 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,800,000

STAND ALONE HOUSE FOR RENTIPO - DAR ES SALAAMENEO=MBWENI JKTBEI -ml. 1,800,000/=NYUMBA LAMISTAND ALO...

4 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,800,000

STAND ALONEFOR RENTIPO - DAR ES SALAAM๐Ÿ…๐Ÿ…ENEO=MBWENI JKTBEI -ml. 1,800,000/=NYUMBA LAMSTAND ALONENY...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENT FOR RENT FULLYFURNISHED#2BEDROOMS ALL MASTER PRICE ML1 PER MONTH MBWENIUNAWEZA KULIPIA KWA...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

๐Ÿก NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA โ€“ VYUMBA 3 VYOTE MASTER | MBWENI JKT โ€“ DAR ES SALAAMFursa ya k...

4 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba-4-vyote masta Bei ml-1-50#0758998074#0689138795whatsapp

House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba nne vyote mastaInajitegemea ndani ya fensiBei ml-1-5#0758...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba 3Inajitegemea ndani ya fensi Bei laki-3-50#0758998074๐Ÿ‘ˆ #...

House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Mbweni JktIna Vyumba Vinnie vyote ni Master, Dining Room, Sit...