Plots for sale at Miganga, Singida


VIWANJA VIZURI KARIBU NA TOWN KWA BEI NAFUU
(VIDEO INAONYESHA MTAA ULIVOJENGEKA
VIKO VIWANJA VINAUZWA
________
MAHALI
________
MIGANGA-IKO IRINGA ROAD,INAPAKANA NA CHIDACHI,MICHESE.NI MOJA KATI YA MAENEO YALIYOJENGEKA VIZURI SANA
________
UMBALI TOKA CITY CENTRE-6KM
________
KWANINI UJENGE MIGANGA?
1•KARIBU NA TOWN,6KM TU
2•BEI NAFUU KULINGANISHA NA MAENEO MENGI YA JIRANI NA TOWN
3.HUDUMA MUHIMU ZA KIJAMII KAMA MAJI,UMEME,SHULE,VITUO VYA AFYA ZIPO
4.BARABARA NZURI ZINAZOPITIKA MASIKA NA KIANGAZI
5.VIWANJA TAMBARARE VISIVYO NA MABONDE AU KORONGO
_______
486Sqm BEI 6.5M
515Sqm BEI 7.5M
548Sqm BEI 7.7M
MAONGEZI YAPO
________________________________
KWENDA KUONA KIWANJA-20,000/=
NB-FANYA KAZI NA DALALI MSOMI(REAL ESTATE FINANCE DEGREE HOLDER) MWENYE UZOEFU MKUBWA KWENYE ARDHI NA MAJENGO
________________________________
MAWASILIANO
0782165255(WHATSAP+CALL)
0673535794