Plots for sale at Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 70,000,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI.
Usiteseke Kutafuta Viwanja vya MJINI. Njoo kwetu Chagile Real Estate.
Bei ni Million tano na laki nane Tu 5.8M tu vya makazi na vya biashara ni 7 millioni TU.
Piga/WhatsApp
0654 77 39 67
0752 74 47 81

▶️Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI KABISA karibu kabisa na MBAGALA RANGA 3.
..
➡️Ni Viwanja Vizuri Na mji uliopangiliwa kisasa zaidi, viwanja vimepimwa ni tambarare na vimezunguka na huduma muhimu za kijamii, kama hospitali, shule za serikali , maji, umeme, vituo vya polisi na usafiri wa bajaji na bodaboda Tu.
..
▶️Ni MITA 900 TU kutoka LAMI usafiri NI wa Bajaj TSh 500/= na bodaboda ni TSh 1000/= paka kwenye mradi wetu.
..
➡️Ukubwa wa Viwanja vyetu.(sqm 200 ,400,600,1000)
Futi 40X50 SQM 200 Bei tsh 5.8 million

Futi 80X50 SQM 400 Bei tsh 11.6million.

Futi 120X100 SQM 800 Bei tsh 23.2 million.
..
Unauwezo wa kuonganisha viwanja viwili, vinne kulinganaa na kipato chako na ukubwa unaoitajia.
..
Utaratibu wa kulipia unaweza lipia kwa awamu au cash, malipo kwa awamu utaanza 50% hadi 70 %million tatu tu (TSh 3,000,000/=) kiasi kinachobakia utalipia ndani ya miezi 3 hadi 4

Usafiri wa kufika hapa KISEMVULE kutoka Kariakoo, Posta, Tandika, Temeke ni uhakika muda wote unapanda gari moja tu kutoka maeneo hayo.

NB. Karibu kuona viwanja kila siku tupo kuanzia saa 2 asubuhi paka 10 jioni.
Ofisi zetu zipo VIKINDU

Safari hii ushindwe ww tu kujenga na Chagile Real Estate.
Ardhi ni hazina na fainali ni uzeeni kijana mwenzangu.
#viwanjavikindu #gsm #viwanja #realestate #trending #simbasctanzania #azamsports2 #yangasc

Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]
chagile_real_estate_tz
Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]

Similar items by location

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 7,200,000

JIZAWADIE KIWANJA DODOMA CHRISTMAS HII🔥Eneo:Nghong’onha (Karibu na UDOM)📍Km 9 tu kutoka mjini!📍Ki...

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,000,000

JIZAWADIE KIWANJA DODOMA MJINI LEO Eneo:Nghong’onha (Karibu na UDOM)📍Km 9 tu kutoka mjini!📍Viwanja...

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,000,000

MALIZA MWAKA KIBABE KWA KUMILIKI ARDHI DODOMA📍Eneo:Nghong’onha (Karibu na UDOM)📍Km 9 tu kutoka mji...

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,000,000

Kata simu tupo site ✅✅Je,Unatafuta kiwanja cha uhakika Dodoma?Eneo:Nghong’onha (Karibu na UDOM)📍Km ...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 4,000,000

Je wewe ni mmoja wapo bado unateseka kupata viwanja vya mjini..?OMBA VIDEO YA MRADI UNAOUTAKA.chagil...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 29,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA CHIDACHI SOUTH DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 7 tu kutoka katikati ya Ji...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 4,000,000

Je wewe ni mmoja wapo bado unateseka kupata viwanja vya mjini..?chagile real estate company ni mabig...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 29,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA CHIDACHI SOUTH DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 7 tu kutoka katikati ya Ji...

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,000,000

Je,Unatafuta kiwanja cha uhakika Dodoma?Eneo:Nghong’onha (Karibu na UDOM)📍Km 9 tu kutoka mjini!📍Vi...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 27,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA CHIDACHI WEST DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 5 tu kutoka katikati ya Jiji...

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 600,000

👉NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA DODOMA MJINI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖👉USHUANI MORENA HOTEL ➖➖➖➖➖➖➖➖👉👉VYUMB...

3 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 150,000,000

NYUMBA INAUZWA BEI RAHISI📍MEDELI EAST /SHOPERZ PLAZAMUUNDO WAKE — VYUMBA VITATU MASTER MOJA— SEBULE...

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,000,000

Unatafuta kiwanja cha uhakika Dodoma?Karibu Nghong’onha ,Karibu na UDOM📍Km 9 tu kutoka mjini!📍Viwa...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 25,000,000

DOCUMENT HATI MILIKI 📍 BLOCK ZG MICHESE TANESCO 👉hii michese TANESCO ni wageni wotee, nadhani unaj...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 12,000,000

KIWANJA KINAUZWA MICHESE TANESCO 👉SQM 1,145 ukubwa wa KIWANJA 👉 Bei 12milion tu, DOCUMENT Saveif...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 350,000

*🏡 NAPANGISHA NYUMBA NZIMA – MAONYESHO, SINGIDA 📍*Nyumba nzuri ya kisasa inapangishwa ikiwa na:✅ V...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 160,000,000

NYUMBA NZURI INAUZWA____________________________________UMBALI KUTOKA DSM ROAD KM1__________________...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,000,000

VIWANJA VINAUZWA DODOMA MJINIEneo : Nghong’onha ,Karibu na UDOM📍Km 9 tu kutoka mjini!📍Viwanja vime...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,000,000

Unatafuta kiwanja cha uhakika Dodoma?Karibu Nghong’onha ,Karibu na UDOM📍Km 9 tu kutoka mjini!📍Viwa...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 140,000,000

NYUMBA NZURI INAUZWAUMBALI YA 04 TOKA BARABARA YA LAMI________________________MAHALI-ILAZO (JIRANI N...