Plots for sale at Ntyuka, Dodoma


Huku kumenogaa 🔥🔥🔥
Karibu nikuuzie viwanja katika eneo lililojengeka tayari, ni unanunua leo na kuanza ujenzi kabisa
Hapa ni chidachi Ntyuka -Dodoma
▶Km 5 kutoka Dodoma mjini
▶Karibu sana na stesheni ya SGR Dodoma
▶Viwanja vimepimwa na vina hati
▶Havina migogoro kabisa
▶Ukubwa kuanzia sqm 486, na kuendelea
▶Bei ni kuanzia mil 11 na kuendelea kulingana na ukubwa wa kiwanja
▶Matumizi vinafaa kwa makazi na biashara
Kwenda site ni buree na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054