Plots for sale at Pugu, Dar Es Salaam




#VIWANJA VINAUZWA. Location Pugu Kinyamwezi. Manispaa ya Ilala Dar es salaam. Idadi ya Viwanja ni 26. Ukubwa wa Viwanja ni Sqm. 400. Bei ya Kiwanja Kimoja ni Milioni 10. Maongezi yapo. Viwanja Vipo Kwenye Mtaa Mzuri. Pia Huduma zote za jamii Zipo. Karibu. Umbali kutoka Main road Mpaka Kwenye Viwanja ni dakika 5 Kwa Miguu. Piga Simu. 0614130017



















