Plots for sale at Temeke, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI BARABARANI,TSHS.180 MILIONI,TEMEKE MIKOROSHINI.
Hizi ni nyumba za kizamani (ZAKUVUNJA)
Kila moja na Mmiliki wake.
Zimepeana Migongo,
ZINAANGALIA LAMI NA BEI NI HIYO NI KWA ZOTE
PANAFAA KUWEKA JENGO LA KISASA LA BIASHARA YA MADUKA/OFISI AU APARTMENTS.
Viwanja vyote viwili (Kwa Pamoja)
ukubwa ni wastani wa SQM.500.
UMILIKI:
Kila nyumba Ina LESENI YA MAKAZI yake.
_____________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________________dgt/jzn


















