Residential Plots for Sale in Mwasonga, Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)






Type
Residential Plot
Plot Size
400 SQM
Nearest Road
1km
Installment
Available
Amenities
Description
KIGAMBONI MWASONGA(GOLDEN TOUCH PROJECT)
๐ Sifa za Mradi
๐นUmbali wa 1KM tu kutoka barabara kuu mpaka site.
๐นBarabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
๐นEneo lenye makazi ya watu tayari.
๐นMji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
โ
Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu๐ก
๐ฐ Bei
๐น Malipo ya CASH
โข Bei: 25,000/= kwa sqm
โข Kiwanja cha sqm 400
400 x 25,000 =10,000,000
โข Unaweza kulipa kwa mkupuo au kwa miezi 3:
โก๏ธ 3,333,333 kila mwezi
๐น Malipo ya INSTALLMENT
โข Bei: 30,000/= kwa sqm
โข Kiwanja cha sqm 400
400 x 30000=12,000,000
โข Unaanza na 10% ya awali (1,200,000)
โข inayobaki unalipa kwa miezi 12:
โก๏ธ 900,000 kila mwezi.
โ๏ธ0675557452




















