Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿FRAME NZURI INAPANGISHWA
🏡 Sifa za Frame:
🔸Frame kubwa na nzuri
🔸Luku nzuri za submeter
🔸Maji yanapatikana
🔸Choo kiko vizuri
💰 Bei: 150,000/= × 6
📌 Eneo: Kimara, Korogwe – upande wa kulia kama unaenda Mbezi kutoka Morogoro Road. Eneo linafanyiwa shughuli nyingi, linapendeza kwa biashara mbalimbali, na lina mzunguko mzuri wa watu. Ni dakika 2 tu kwa miguu kutoka barabara kuu.
GHARAMA
🔹 Hela ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja unapolipia
🔹 Service Charge: 15,000/=
0713661530_0783661530



















