Retail Space for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


🔥 Frame ya Biashara Inapangishwa – Sinza 🔥
💰 Kodi: 300,000/= kwa mwezi
📅 Malipo: Miezi 6
📍 Ipo eneo lenye movement kubwa, inafaa kwa biashara yoyote — salon, duka, ofisi, au wakala!
💵 Service charge -30,000
💼 Agent commission ni lazima
📞 Wasiliana 📲 0678512666
#FrameZaBiashara #Sinza #DalaliMshua #BiasharaInalipa #LocationKali