Retail Space for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


FREM KUBWA SANA INAFAA KWA MATUMIZI YA OFISI INAPANGISHWA
LOCATION UBUNGO KIBO NA UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI NI DK MBILI KUTEMBEA KWA MIGUU
BEI NI TZS 450K X6
UMEME LUKU YAKO PIA CHOO CHA KWAKO NA MAJI YANATIRIRIKA CHOONI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 20K
CONT ๐