Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 5,000,000
Project
Yes

🔥UZINDUZI RASMI – MRADI WA VIWANJA MWASONGA, KIGAMBONI🔥
"We make investment easy and affordable."

➡️JE, UNATAKA KUJENGA AU KUWEKEZA KABLA HAKUJACHELEWA?

📌📌Ukweli ni huu: Ardhi haiongezeki, lakini mahitaji yake yanaongezeka kila siku!

➡️Sasa ni muda wako wa kuchukua hatua ya busara na kumiliki kiwanja cha ndoto zako kwenye eneo lenye thamani inayokua kila siku!

📍 MAHALI: Mwasonga, Kigamboni – Dar es Salaam
🚗 Km 29 kutoka roundabout ya Kibada
🛣️ Km 2.5 kutoka barabara mpya ya lami ya Mwasonga
📐 UKUBWA WA VIWANJA: Kuanzia Sqm 500 (mita 20x25)
💰 BEI: Tsh 5,000,000 tu
📄 UMILIKI: Kiwanja kinapimwa na mteja anapewa Hati halali ya Wizara ya Ardhi

FAIDA ZA KUWEKEZA MWASONGA – KIGAMBONI
✅ Eneo tambarare na salama kwa ujenzi
✅ Kila kiwanja kitaunganishwa na barabara ya mtaa
✅ Huduma muhimu kama umeme ⚡ na maji 🚰 zinapita karibu
✅ Ukanda unaokua kwa kasi kutokana na mipango mikubwa ya serikali:
• Ujenzi wa barabara mpya ya lami (Kigamboni–Mwasonga)
• Upanuzi wa miundombinu ya makazi, shule, vituo vya afya & biashara
• Kigamboni ni kitovu kipya cha uwekezaji jijini Dar!

UNAPATA NINI UNAPOMILIKI HAPA?
🏡 Ardhi salama na tambarare
🌳 Mazingira tulivu na rafiki kwa familia
📈 Thamani inayopanda haraka – ni uwekezaji wa uhakika
🔐 Hati ya Wizara – uhalali wa umiliki wako unalindwa kisheria

WASILIANA NASI SASA – ZINDUA NDOTO YAKO YA UMILIKI WA ARDHI!
📞 +255 711 890 764
📞 +255 714 859 934
✉️ Email: oweruinternational@gmail.com | info@oweruinternational.com
📍 Ofisi Zetu: Kibada – Karibu na Kibada Garden Building, Kigamboni, Dar es Salaam
TUFUATE MTANDAONI:
Instagram: oweruinternational_ltd
Facebook: Oweru International Ltd
Threads: oweruinternational_ltd
WhatsApp: +255 711 890 764

‼️FURSA NI YA WALIOTAYARI – USISUBIRI KUONA RAMANI, KUWA MMOJA WA WENYE ARDHI SASA‼️

Mradi huu wa Mwasonga ndio mwanzo wa miradi mikubwa kutoka Oweru International Ltd. Karibu tuzindue mafanikio yako!
#oweruinternational #mwasonga #mwasongakigamboni #ViwanjaVinauzwa

Oweru International Ltd
oweruinternational_ltd
Oweru International Ltd

Similar items by location

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 160,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Geza Ulole ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m)...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada kigogo <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master s...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ferry <> nyumba Ina chumba kimoja master mpya ✅nyumba iko...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000,000

📍KIGAMBONI MUONGOZO DAR - ES - SALAAM👉VIWANJA VINAUZWA____________________________________________...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO THS 250k 🤝 KIBUGUMO KIGAMBONI SERVICE CHARGE 20K ZINGAT...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO TSH 300K 🤝 UNGINDONI KIGAMBONI SERVICE CHARGE 20k ZINGA...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

HOUSE FOR RENT STEND ALONE INAPANGISHWA KIGAMBONI __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER __SEBULEDINING...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

🔥 APARTMENTS 6️⃣ ZINAUZWA – KIGAMBONI MALAIKA BEACH 🔥➡️ Vyumba 2 (1 Master) kila nyumba➡️ Sebule k...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya ...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

📍KIGAMBONI MJIMWEMA MAWENI🏠NYUMBA ZINAPANGISWA🏠SEBULE/CHUMBA/JIKO & CHOO 👉APARTMENT ✅NJOO UWEKE ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 190,000,000

Kiwanja kinauzwa Loc Kigamboni ukitokea darajan kilometres 6 square mita 890 Bei tsh million 190Con...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 5,200,000

CHIMBO LA BEI CHEEKaribuni Viwanja VILIVYOPIMWA. (SURVEYED PLOTS)📍location :👉 #KIGAMBONI , #MWASON...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 21,000,000

VIWANJA VINA UZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __KLM 1.5 KUTOKA LAMI UMILIKI SELIKALI YA MTAAMIUNDOMBINU NIMIZ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Unfinished House(haijamalizika) ..inauzwa(for sale)Location : ..kigamboni(mji mwema)Inquiries : ..in...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000,000

Plot for sale / kiwanja kinauzwa Ukubwa wa eneo square meter : 4000 Kigamboni Barabara ya kibada dar...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📍KIGAMBONI KISIWANI KISOTA🏠VYUMBA INAPANGISHWA 🏠VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER _____________________...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

📍KIGAMBONI DARAJANI SOWETO 👉INAPANGISHWA 🏠CHUMBA/JIKO & CHOO 🕐DAKIKA 1 KUTOKA KITUONI___________...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 46,000,000

Viwanja VINAUZWA KIGAMBONI kisiwani BEI million 46 sqm 500 pg 0676768972