Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


VIWANJA VINAUZWA;
Viwanja vipo KIGAMBONI- DEGE
🎯Jirani na kabisa na makazi ya watu
🎯1.5 km kutoka barabara kuu
🎯km 23 kutoka Kigamboni Ferry
🎯Huduma zote za kijamii zipo
📍Viwanja vimeshapimwa
Sqm 1 = Tsh 20,000/=
Mfano; Sqm 1000 ni Tsh 20,000,000/=
Lakini pia unaweza kulipa kidogo kidogo kwa kuanza 50% na nyingine ukamalizia ndani ya miezi mitatu (3).
VIWANJA VILIVYOBAKI NI
📍Sqm 565
📍Sqm 522
📍Sqm 590
📍Sqm 834
📍Sqm 743
📍Sqm 693
📍Sqm 600
📍Sqm 615
📍Sqm 621
📍Sqm 641
📍Sqm 630
📍Sqm 587
📍Sqm 638
📍Sqm 555
📍Sqm 608
📍Sqm 771
📍Sqm 952
📍Sqm 666
📍Sqm 1,194
✅Hivi sio vya kukosa 🤝
Karibu uwekeze KIGAMBONI - DEGE, kwa maisha ya sasa na Baadae 👍
Tupigie;
0786 483 603
0628 619 674