Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Project
Yes

HII NI BALAAA!! Usikubali Kupitwa na hii OFA kabambe ya Viwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORIS kwa bei ya Laki tisa tu (900,000/=). 0711677199/0744847199.

Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu Kigamboni utapata Kwa bei ya Laki tisa tu. Unanunua na kujenga Maana huduma zote zipo.

➡️ Viwanja ni vizuri sana, ni flat na tayari Kuna majirani wenye nyumba za kisasa.

➡️ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k

👉 Umbali ni Km 36 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 800 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 2 toka BAHARINI.
____________________________
👉 BEI YAKE SASA NI =Tsh 900,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________

USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.

🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

📍KIGAMBONI UNGINDONI 👉NYUMBA INAPANGISHWA 🏠SEBULE/CHUMBA/JIKO & CHOO ____________________________...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI UNGINDONI 🌴Fursa ya kipekee kwa wanaotafuta uwekezaji wenye tija! 💰✅...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 73,000,000

📍NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DARAJANI 📍NYUMBA INAVYUMBA 3 KIMOJA MASTAR ,SEBULE, Nk…📍NYUMBA INAUKUB...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master ✅nyumba iko f...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ungindoni<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 6,500,000

BEAUTIFUL HOTEL FOR SALE AT KIGAMBONI Vyumba 31 vya vya kulala vilivyoundwa kwa ubunifu wa hali ya j...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA(INAJITEGEMEA)📍Kigamboni-Kisiwani(BARABARANI)💰500,000X4 Na mwezi mmoja wa dal...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

📍KIGAMBONI KISIWANI🏠CHUMBA & CHOO👉INAPANGISHWA__________________________________________💰150,000...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LINA MAKABATITSH 250K 😋 UNGINDONI KIGAMBONI. SERVICES ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

ENEO LENYE NYUMBA LINAUZWA KIGAMBONI MWASONGA BEI MIL 110 UKUBWA WA ENEO HEKA 6 DOCUMENTS SALES AGRE...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA GEZA ULOLE __INA VYUMBA V3 VYAKULALA VIWILI MASTER SEBULE DINING J...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 175,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI KISOTA __KIWANJA KINA FENCE PANDE ZOTE KIWANJA KINA FENCE BALABALA YA MTAAM...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI KISOTA KWA MKOREA__MIUNDOMBINU YAKIWANJA NI TAMBALALE MAZINGILA TULIVU S...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

GOROFA LINAUNZWA “”INA VYUMBA VINNE “”ENEO SQMT 800”OFFER M 400”MAONGEZ HAT SAFIIIIII ✅LOCATION KIGA...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

NYUMBA MPYA INAUNZWA “”ENEO SQMT 850””INA VYUMBA VITATU VYOTE MUSTER “”NA BYCOTA “”OFFER M 380””MAON...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 295,000,000

NYUMBA MPYA INAUNZWA “”INA VYUMBA VITATU VYOTE MUSTER “”ENEO SQMT 500”OFFER M 295”MAONGEZ “”HAT SAFI...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 290,000,000

📍NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI MWONGOZO 📍NYUMBA INAVYUMBA 3, VYOTE MASTAR ,SEBULE, Nk…📍NYUMBA INAUKU...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 320,000

📍KIGAMBONI DARAJANI 🏠NYUMBA INAPANGISHWA 🏠SEBULE/CHUMBA/JIKO & CHOO _____________________________...