Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


MRADI MPYA KIGAMBONI
KIMBIJI PUNA๐ฅ๐ฅ
๐๐พUMBALI 30KM TOKA FERRY
๐๐พVIWANJA VIMEPIMWA/SURVEY APPROVAL
๐๐พUKUBWA WA VIWANJA UNAANZIA 382sqm HADI 999.1sqm
๐๐พBARABARA NZURI ZINAFIKIKA HADI SITE.
๐๐พHUDUMA ZA KIJAMII ZIPO NA KWA UHAKIKA.(umeme,maji,shule,hosp n.k)
๐๐พBEI NI NAFUU ZAIDI
MFUMO WA MALIPO.
Cash; TSh 7,500/=
Awamu; TSh 10,000=(malipo ndani ya miezi 18) Hapa Mteja ataanza na malipo ya 500,000/= lakini hazuiliwi hata akiwa na zaidi ya hiyo.