Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 18,000,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

1.KWANI KISARAWE 2 (TWO) NI WAPI …..?

Kisarawe 2 ni kigamboni kituo kinachofuata baada ya kibada wengine wanapaita kigogo ni Km 7 kutokea kibada stendi njia ya kwenda mwasonga au dar es salaam zoo hii barabara ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kabisa za kumwaga lami hivyo ni kimbilio la wateja wengi kwasasa kabla bei hazijapanda

2. KWANINI KISARAWE 2 NA SIO SEHEMU NYINGINE …?

Kwasababu ni karibu sana na ferry/ darajani na panafikika kirahisi , KISARAWE 2 ni umbali ya dakika 35 kutoka site hadi kufika ferry / darajani na hakuna foleni panafikika kirahisi ni Km 14 kutoka darajani/ ferry

3. BEI ZAKE ZIPOJE …?

Bei za kisarawe 2 ni shilingi elfu therathininkwa mita moja ya mraba (SQM 1 = 30,000) hivyo ukubwa wa kiwanja unaoutaka unazidisha mara mita moja ya mraba
Mfano ; SQM 600 (mita 30 kwa 20) unazidisha mara 30,000Tsh = 18M

4; UMILIKI WAKE UPOJE ….?

Viwanja vipo vinne vya swm 600, SQM 800, SQM 1200, SQM 2650, VYOTE VINA HATI KAMILI KITOKA WIZARA YA ARDHI.

5. MALIPO YAKE YAPOJE …?

Unaweza kulipa Cash (kwa mkupuo) au kwa awamu lakini utapewa mwezi mmoja wa kumalizia malipo.

6. SIKU YA KWENDA SITE NI LINI ..? NA OFISI ZENU ZIKO WAPI…?

Ofisi zetu zipo kigamboni kibada karibu na KIBADA GARDEN na kila siku tunaenda site.

7.MAWASILIANO
☎️0767894547
☎️0629894547

Dalali mfupi
dalali_kigamboni_mfupi
Dalali mfupi

Similar items by location

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 250k kwa mwezi Zipo kigambo...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 200k kwa mwezi Zipo kigambo...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 830,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KIBADA KIGAMBONI VYUMBA VINNEPlot size ; sqm 110...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 235,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA ______________#location_kigamboni_kibada _______________Miundombinu Yake____baraba...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; MIKWAMBE FUN CITY KIGAMBONI VYUMBA VINNE Plot si...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 59,500,000

SITE LOCATED AT GEZA ULOLE KIGAMBONI which is 📌14km from kigamboni ferry 📌15km from kigamboni dara...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Nyumba zinauzwa kigamboni kisiwani bei milioni 85 zipo 5👍

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

HOUSE FOR SALE// NYUMBA YA KUUZWA➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖📍Location : DEGE ECO VILLAGE , KIGAMBONI (12km fr...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

#HOUSE FOR SALE. #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KISIWANI KIGAMBONI Plot size ; mita sqm 400Aski...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

APARTMENT ZINAUZWA KIGAMBONI KISIWANI ML 85 ZIPO 5 CHUMBA MASTA JIKO KWAMWEZI KODI L.K 850 MTAA WA...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

📍KIGAMBONI KISOTA 👉KIWANJA KINAUZWA👉UKUBWA NI SQM 800👉KINA HATI YA WIZARA 💰BEI; MILION...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 250k kwa mwezi Zipo kigambo...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 200k kwa mwezi Zipo kigambo...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 36,000,000

House For Sale Location:Kigamboni Dar Es Salaam Documents:Sales Agreements 3 Bedrooms 1 MasterSeatin...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

🌊 Kigamboni – Cheka Beach Project! 🏝️Mahali pazuri pa kuwekeza au kujenga ndoto zako!📍 Umbali:🚗 ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

🌊 Kigamboni – Cheka Beach Project! 🏝️Mahali pazuri pa kuwekeza au kujenga ndoto zako!📍 Umbali:🚗 ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MJI MWEMA FERRYUKUBWA;SQM 600BEI:MILION 35CALL 0742121038

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Nyumba inauzwa kigamboni kibada mwela bei milioni 150 wai pg 0676768972