Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI. 0711677199/0744847199.

Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote pale. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee🤗

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale na havikai maji.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Wakati wewe Bado unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuna na neno la SOLD OUT 🤪. Jamani simu ziite 📞 0711677199 au 0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Unfinished House(haijamalizika) ..inauzwa(for sale)Location : ..kigamboni(mji mwema)Inquiries : ..in...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000,000

Plot for sale / kiwanja kinauzwa Ukubwa wa eneo square meter : 4000 Kigamboni Barabara ya kibada dar...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📍KIGAMBONI KISIWANI KISOTA🏠VYUMBA INAPANGISHWA 🏠VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER _____________________...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

📍KIGAMBONI DARAJANI SOWETO 👉INAPANGISHWA 🏠CHUMBA/JIKO & CHOO 🕐DAKIKA 1 KUTOKA KITUONI___________...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 46,000,000

Viwanja VINAUZWA KIGAMBONI kisiwani BEI million 46 sqm 500 pg 0676768972

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

SITE VISIT KWETU NI BURE KABISA, TWENDE SITE WEEKEND HII UKAJICHAGULIE KIWANJA CHAKO KIZURI KABISAOF...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 110,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA kisot __VIWANJA viwili kwapamojaMAZINGILA TULIVU SANA MTAA mzuli M...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

📍KIGAMBONI UNGINDONI 👉NYUMBA INAPANGISHWA 🏠SEBULE/CHUMBA/JIKO & CHOO ____________________________...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

🏠 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI UNGINDONI 🌴Fursa ya kipekee kwa wanaotafuta uwekezaji wenye tija! 💰✅...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 73,000,000

📍NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DARAJANI 📍NYUMBA INAVYUMBA 3 KIMOJA MASTAR ,SEBULE, Nk…📍NYUMBA INAUKUB...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master ✅nyumba iko f...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ungindoni<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 6,500,000

BEAUTIFUL HOTEL FOR SALE AT KIGAMBONI Vyumba 31 vya vya kulala vilivyoundwa kwa ubunifu wa hali ya j...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA(INAJITEGEMEA)📍Kigamboni-Kisiwani(BARABARANI)💰500,000X4 Na mwezi mmoja wa dal...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

📍KIGAMBONI KISIWANI🏠CHUMBA & CHOO👉INAPANGISHWA__________________________________________💰150,000...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LINA MAKABATITSH 250K 😋 UNGINDONI KIGAMBONI. SERVICES ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

ENEO LENYE NYUMBA LINAUZWA KIGAMBONI MWASONGA BEI MIL 110 UKUBWA WA ENEO HEKA 6 DOCUMENTS SALES AGRE...