Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

OFA YETU BADO INAENDELEA.
Jipatie Kiwanja KIGAMBONI DEGE KICHANGANI Center!!
Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Pia ni Karibu na Hotel kubwa ya kitalii ya Aya Sophia Villa Kwa wale wanaopenda mazingira tulivu na kuenjoy na familia hapa panawafaa sana!!

👉Ni pazuriiii sana, watu wamejenga mijengo ya maana, Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu😜) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

☑️Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5 tu(Vimebaki 4) Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji 🛺 mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

📞0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

HOUSE FOR RENT CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO TSH 200k 🤝UNGINDONI KIGAMBONI SERVICE CHARGE 20k ZINGAT...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada blocki 19 bei milioni 68 ukubwa wakiwanja sqm 748

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA UNGINDONI ___INA VYUMBA V3 VYAKULALA _VIWILI MASTER _DINNING SITI...

House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI KISOTA __ENEO LINAUZWA ENEO TAMBALALE SANA ENEO NILAN BIASHALA APARTMENT YAR...

House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V2 SEBULE JIKO CHOOKILA NYUMBAZP APARTMENT 4...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

HOUSE FOR RENT ✅VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO LENYE MAKABATI ✅BEI NI MILLION...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIGAMBONI MWONGOZO.✅ Jipatie kiwanja Bora cha makazi MWONGOZO ki...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIGAMBONI MWONGOZO.✅ Jipatie kiwanja Bora cha makazi MWONGOZO ki...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIGAMBONI MWONGOZO.✅ Jipatie kiwanja Bora cha makazi MWONGOZO ki...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

ENEO LINAUZWA KIGAMBONI SALANGA KISOTA __ENEO TAMBALALE SANA LINA FAA KWA BIASHAL __KAMA SHULE YARD ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

Tunajali....TUMECHONGA BARABARA TENA! MRADI WA VIWANJA KIGAMBONI DEGE-ECO VILLAGE ▫️Tunapakana na m...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

#HOUSE FOR SALE \n\n#NYUMBA INAUZWA \nKIGAMBONI \n\nLOCATION; TUANGOMA KIGAMBONI \n\nPlot size ; mit...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

OFERTA KALI – NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI, UNGINDONI ---🏡 Nyumba nzuri ya kisasa yenye mazingira tuliv...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Vyumba 3 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ✨...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

🏡 NYUMBA YA KUPANGISHA – KIGAMBONI DARAJANI ✅ 1 Bedroom (Master Self Contained)✅ Sebule kubwa + Jik...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

OFERTA KALI – NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI, UNGINDONI ---🏡 Nyumba nzuri ya kisasa yenye mazingira tuliv...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisota<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI<> location darajani (lami)<> nyumba ina vyumba viwili kimoja master s...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI<> location kibugumo <> nyumba ina chumba kimoja Master sebule na jiko...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI<> location kisiwani<> nyumba ina chumba kimoja Master kubwa (nzuri)✅n...