Plots for sale at Lugoba, Pwani


Njoo tukupe kiwanja Lugoba chalinze upate na Hati yako kutoka Wizara ya Ardhi.
✍️Viwanja viko Lugoba Chalinze viko 2 km kutoka barabara ya Lami, viko njia ya kuelekea Ubenazomozi.
✍️Gharama ni 2000/= tu Sqm moja. Viwanja vimepimwa kuanzia 600sqm. Chenye thamani ya 1,200,000/= Unaweza kulipa Cash na kupata discount ya 10% kiwanja cha 500Sqm utalipa 1,080,000/=
✍️unaweza kulipa Downpayment ya 30% yaani 360,000/= na 840,000/19 utalipa 44,210/mwezi.
✍️Unaweza kulipa 60,000/= kwa kila mwezi kwa miezi 20.
NB. Hati ni inclusive
Jumamosi tunaenda Site kuangalia maeneo karibu pia
weka bookings
#0683273159