Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 240,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND. ANZA NA LAKI TATU KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITANO
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
_____________________________________Kampuni ya RAMAHA LAND
Imekukuletea site mpya yenye viwanja 100 vyenye ukubwa wa fut 50 kwa 40 kwa sh 1,500,000/ tu.

Pia unaweza kuunganisha kuanzia viwili nakuendelea

Anza na laki tatu kisha kwa kila mwezi lipa 240,000 x 5 utakuwa umemaliza deni.

Ndugu yangu hii siyo ya kukosa mwanzo tulikua na ofa ya viwanja 250 kwa utaratibu kama huu kwa sasa ni viwanja 100 tu navyo vimepakana na sekondari ya Tambani kule kule kwenye site ya viwanja 250 vilivyoisha.

Umeme upo hapo hapo ni nguzo tatu tu na viwanja ni tambarale safi kabisa ukifika utajionea mwenyewe.

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi saiti ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Barabara✓

Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.

Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja

Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%

_____________________

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 27,000,000

NYUMBA (UNFINISHED) PAGALA INAUZWA NA BANKIPO MBAGALA CHAMANZI MANISPAA YA TEMEKE DAR-ES-SALAAM-TZ N...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 47,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba 3 vya Kulala nyumba ina boikota ya v...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

Nyumba InauzwaBei: Milion 120 (TSH). Mahali: Mbagala Majimatitu-Dsm(Simu/WhatsApp):+255744993715.SI...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

NYUMBA INAUZWA ML 110ML IPO MBAGALA MAJI MATITU NYUMBA YA 4 VYUMBA VYAKULALA STINGIROOM DAININGIROOM...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO MBAGALA MAJI MATITU NYUMBA YA 4 VYUMBA VYAKULALA STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN ...

Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 15,000,000

ANZA NA KIWANJA LEO. JENGA KESHO YAKO... HUUUU NI MRADI MKUBWA WA VIWANJA UNAO PATIKATA MBAGALA KONG...

4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 42,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi kwa mzala nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stigiroom ...

Sh. 63,000,000

#NYUMBA INAUZWA LOCATION #MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 ➡️ BEI MILIONI 63 MAONGEZI YAP0 UKUB...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

#HOUSE_FOR_SALEHOUSE FOR SALE / NYUMBA NZURI SANALOCATION: MBAGALA CHAMAZIFIXED PRICE: MILION 58UKUB...

Sh. 55,000,000

NYUMBA NZURI SANA INAUZWA NA MWENYEWE IPO MBAGALA KONGOWE MLAMLEN NJIAPANDA YA VIDETE.LOC : MLAMLEN ...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...

House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba vya Kulala masters bedroom stingiroo...

3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku ilulu nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroo...