Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➑️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➑️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA πŸ“Έ.

➑️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➑️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➑️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➑️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

π—•π—˜π—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 𝗑𝗔 π—¨π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—žπ—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

π—¨π— π—•π—”π—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗣π—₯π—’π—π—˜π—–π—§ 𝗬𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—’ π—­π—”π—œπ——π—œ π—§π—¨π—£π—œπ—šπ—œπ—˜ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 π—›π—œπ—­π—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu π—§π—˜π—©π—œ π—–π—’π— π— π—˜π—₯π—–π—œπ—”π—Ÿ 𝗣𝗔π—₯π—ž(𝗢𝗹𝗢𝗽𝗼 𝗑𝗕𝗖 π—•π—”π—‘π—ž), π— π—•π—˜π—­π—œ π—•π—˜π—”π—–π—› π—§π—”π—‘π—žπ—œ 𝗕𝗒𝗩𝗨 - 𝗗𝗔π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

Plot for salePrice 140 MSqm 800Mbweni Round AboutBlock Document ( title deed )Contact 07124647770769...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Plot for salePrice 75 MSqm 783Mbweni MpijiBlock 10Document ( title deed )Contact 0712464777076907024...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

Above JKT mbweni plot 1,470 sqm asking price 300m netContact call 07125316570789731695

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

Plot for salePrice 80 M fixed πŸ‘ŒSqm 500Mbweni Malindi Block 6Document ( title deed )

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

PLOT FOR SALEPRICE 135 MSQM 900MBWENI UBUNGOMWEMBAMBA

4 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

Stand alone House for rent 4roooms 2rooms master Price 2,000,000 KwamweziMalipo miezi 6Location mbwe...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

Nyumba Ya Kisasa InauzwaMahali: Mbweni JktBei: Milioni 500β˜‘οΈUkubwa: Sqm1300β˜‘οΈVyumba 4, Viwili Ni Mas...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

Nyumba Ya Kisasa InauzwaMahali: Mbweni JktBei: Milioni 500β˜‘οΈUkubwa: Sqm1300β˜‘οΈVyumba 4, Viwili Ni Mas...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

PLOT FOR SALE AT MBWENI JKTAbove JKT mbweni plot 1,470 sqm asking price 300m netContact 0625584914

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

KIWANJA KINAUZWATSH MIL 180SQM 1040MBWENI KILIMA HEWANYARAKA KINA HATI MILIKI07124647770769070247

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION MBWENI MALINDIVYUMBA 2 master#seble#jikoDaining,maji umeme #pablickG...

2 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment vyumba viwiliSebule Jiko & chooKodi tsh 400,000 Nyumba ipo mbweni07124647770769070247

3 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

HOUSE FOR SALE NEW HOUSE LOCATION:πŸ“ MBWENI MOGA _________________________UKUBWA WA KIWANJA - SQM 60...

3 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Date 22\ 10\ 2025HOUSE FOR SALE LOCATION MBWENI UBUNGO SIZE PLOT SQMT 800UMEPIMWA UNA HATIBEI MILION...

3 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Date 22\ 10\ 2025HOUSE FOR SALE LOCATION MBWENI UBUNGO SIZE PLOT SQMT 800UMEPIMWA UNA HATIBEI MILION...

3 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Date 22\ 10\ 2025HOUSE FOR SALE LOCATION MBWENI UBUNGO SIZE PLOT SQMT 800UMEPIMWA UNA HATIBEI MILION...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM TzMAHALI -MBWENI MOGA _____________________________UKUBWA ~ SQM...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM TzMAHALI -MBWENI MOGA _____________________________UKUBWA ~ SQM...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 190,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM TzMAHALI -MBWENI MOGA _____________________________UKUBWA ~ SQM...

4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Apartment inapangishwaMbweni mogaInavyumba-vinne vyote mastaNyumba mpyaWapangaji-3Maji umeme unajite...