Plots for sale at Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 1,307,152.602
Project
Yes

VIWANJA VINAUZWA BEI NI MILIONI 1.3, 0715 260 200

 Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI, Karibu Sana na MBAGALA RANGI 3.

 Ni Viwanja vizuri na mji uliopangiliwa kisasa kabisa, viwanja ni tambarale, vikiwa vimezungukwa na huduma muhimu kama Maji,umeme na shule binafsi na shule za Serikali, Hospitali na Usafiri wa bajaji n.k

 Ni KM 3 tokea KISEMVULE STAND ( Usafiri wa Bajaji Mia Saba na Pikipiki Elfu Moja Tu mpaka kwenye mradi wetu ).

 Ukubwa wa Viwanja ni Futi

Futi SQM 300 Milioni 1.3

Futi SQM 600 Milioni 2.6

Futi SQM 1200 Milioni 5.2 na kueendelea

Unauwezo wa kuunganisha viwanja viwili, vinne na kuendelea kulingana na kipato chako.

Utaratibu wa kulipa kwa awam upo, unaweza kuanza na Laki Tisa Kisha inayobaki utapewa miezi 3.

Usafiri wa kufika Kutoka Kisemvule ni uhakika muda wote, Unapanda gari moja tokea Kariakoo, Temeke, Kivukoni, Kigamboni, Mbagala n.k

NB : Karibu kuona kwani Usafiri ni Bureee!.

Yaani Ushindwe wewe tu kujenga

Wote mnakaribishwa

" Ardhi ni Mali "

Piga 0715 260 200.

Viwanja Bei Rahisi Dar es salaam
kismatiproperty
Viwanja Bei Rahisi Dar es salaam

Similar items by location

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 13,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK F👉🏼SQM 525 UkubwaBlock F👉🏼Bei 13milion tuDocument Hati miliki 👉�...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 13,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK F👉🏼SQM 625 UkubwaBlock F👉🏼Bei 13milion tuDocument Hati miliki 👉�...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 7,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK M👉🏼SQM 525 UkubwaBlock M👉🏼Bei 7milion tuDocument offer ya CDA👉🏼...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 15,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK D👉🏼SQM 450 UkubwaBlock D👉🏼Bei 15milion tuDocument Hati miliki 👉�...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 8,800,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK L👉🏼SQM 450 UkubwaBlock L👉🏼Bei 8.8milion tuDocument Hati miliki 👉...

5 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 23,000,000

Pagala linauzwa lipo chunya mjini Nikubwa Vyumba 5 Master mbiliBei million 23Spmet 1300 . Call me O...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 12,000,000

KIWANJA KINAUZWA MNADA MPYA DODOMA 👉SQM 750 kipo Block J 👉8km kutoka mjini na 1km kutoka stand ya...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 25,000,000

Nyumba inauzwa ipo Mbeya Mjini Old airport Bei million 25 Call O785027773

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 45,000,000

Hii sio ya kukosaa ndugu zangu Ni mpamaaa dodoma Karibu na mlimwa c dodoma Kiwanja kina ukubwa wa SQ...

2 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 350,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA KISASA MWANGAZA DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 5 kutoka katikati ya Jiji ...

2 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 350,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA KISASA MWANGAZA DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 5 kutoka katikati ya Jiji ...

Retail Space for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

⚜️ Flem Kubwa Sana Hii Inapangishwa ⚜️ Mahari 👉 Dodoma Mjini Kati👉 Ipo Jirani na Dodoma Hotel 👉...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 35,000,000

KIWANJA KIZURI #KUNA UKUBWA WA SQM 450 KARIBU NA HOTEL EXPERANZA DODOMA MJINI DOCUMENTS:HATI✅Piga 06...

Farm for sale at Mjini, Ruvuma
  • Agriculture

Sh. 950,000

🌱 Shamba Ekari 60 Linauzwa!📍 Lipo Ititi, km 15 kutoka Singida Mjini💰 Tsh 950,000/ekari✅ Linafaa k...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE #KODI 500,000X6 LOCATION: #KIMARA_STOP_OVER 📌VYUMBA VIWILI VYA ...

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

APPARTMENT INAPANGISHWA KARIBU NA MJINI______MAHALI-AREA C ______MUUNDO -VYUMBA 03(01 MASTA)-SEBULE-...

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

APPARTMENT INAPANGISHWA KARIBU NA MJINI______MAHALI-AREA C ______MUUNDO -VYUMBA 03(01 MASTA)-SEBULE-...

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

APPARTMENT INAPANGISHWA KARIBU NA MJINI______MAHALI-AREA C ______MUUNDO -VYUMBA 03(01 MASTA)-SEBULE-...

2 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 350,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA KISASA MWANGAZA DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 5 kutoka katikati ya Jiji ...

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 150,000

NAPANGISHA APARTMENT mpya 👉Chumba self na sebule na jiko📍Ipo Mtaa wa jitulize ukombozi👉Mjini kat...