Plots for sale at Toangoma, Dar Es Salaam


VIMEBAKI VICHACHE SANAAAA…!!! 
Viwanja 18 Tu Vimebaki Katika Mradi Huu Wa TOANGOMA- TEMEKE . 
SQM 1 tunauza 45,000 na Unapewa Hadi Miezi 36 wa Kulipia Kiwanja. 
Viwanja vinaanzia SQM 398.2 Hadi SQM 1,000. 
Ukilipa Rejesho la Kwanza tu Unaruhusiwa Kuendeleza Kiwanja chako. 
Utapata:
1. Mkataba wa mauziano 
2. HATI MILIKI Buree Ukimaliza malipo. 
3. Efd Receipt. 
Wasiliana Nasi : 0699117035
Karibu Ofisini : Mwenge Bamaga- Dora Tower (Ghorofa ya 4).


















