1 Bedroom Apartment for Rent in Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Kimara, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 250,000/month
Description
#IMELIPIWA
🏡 APARTMENT NZURI ZINAPANGISHWA – KIMARA
📍 Zipo Kimara Temboni
🚶♂️ Dakika 6 tu kwa miguu kutoka main road
✨ Muundo wa nyumba: ▪️ Chumba kimoja cha kulala
▪️ Sebule
▪️ Jiko
▪️ Choo
💡 Umeme na maji vinajitegemea
🔐 Ndani ya fensi
🛡️ Kuna mlinzi getini (ulinzi wa uhakika)
💰 Kodi: Tsh 250,000 kwa mwezi
📆 Malipo: Miezi 3
📞
Kwanda kuona 20k na malipo ya mwezi mmoja
0654 101 710
O787 205 300















