Search

1 Bedroom Apartment for Sale in Kigamboni Kibada Mkolea, Dar Es Salaam (800 sqm)

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Description

APARTMENTS ZINAUZWA โ€“ KIGAMBONI KIBADA MKOLEA ๐Ÿก

Apartments nzuri zinazofaa kwa uwekezaji zinauzwa eneo la Kigamboni Kibada Mkolea. Zipo kwenye mazingira mazuri na unaweza kuzipangisha kwa mapato ya kila mwezi.

๐Ÿ”น Zipo apartments 5 zenye:

* Chumba
* Sebule
* Jikoni
* Master

๐Ÿ”น Pia ipo apartment 1 yenye:

* Chumba master
* Nadiko

๐Ÿ”น Ukubwa wa eneo: SQM 800

๐Ÿ’ฐ Kodi ya kila apartment inaweza kufika hadi laki 4 kwa MWEZI

โœ… Zinafaa sana kwa uwekezaji na biashara ya upangishaji.

๐Ÿ’ต Bei: Milioni 350
(Maongezi yapo kidogo)

๐Ÿ“ Location: Kigamboni Kibada Mkolea

Karibuni sana kwa viewing na maelezo zaidi.
๐Ÿ“ž0769554221
#trending #istagram #tanzania #realestateforsale #house

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam