1 Bedroom House for Rent in Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
1
Nearest Road
1km
Installment
Available
Amenities
Description
🇹🇿 MASTER BED ROOM MPYA YA KISASA – INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE 150k
📍 Eneo: Kimara korogwe
🕒 Umbali: Km 1 kutoka stendi ya mwendo kasi. Usafiri wa bodaboda Tsh 1,000 tu, au dakika 15 kwa miguu.
🏠 SIFA ZA NYUMBA:
🔹Chumba kimoja (Master Bedroom) kikubwa sana
Jiko zuri na la kisasa
🔹Umeme & Maji (Submeter yake binafsi)
🔹Maji yanapatikana masaa 24\/7
🔹Fensi hamna & Parking kubwa na salama
👉Nyumba inafaulishwa inakuwa wazi tarehe 20/06/2026 kuona ndani na kufanya malipo luksa endapo mpangaji atakuwepoo
GHARAMA:
🔸Kodi: Tsh 150,000 × 6 (Miezi sita)
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















