Search

1 Bedroom House for Rent in Kimara Stopover, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

Description

🏠 MASTER BEDROOM + JIKO – KIMARA STOPOVER

πŸ“ Ipo Kimara Stopover, jirani kabisa na barabara.

✨ Nyumba mpya kabisa, njoo uwe mpangaji wa kwanza!

βœ… Master bedroom kubwa
βœ… Jiko ndani
βœ… Choo na bafu ndani
βœ… Umeme wa LUKU watu wawili tu
βœ… Maji wanatumia watu wawili tu
βœ… Gari linafika hadi nyumbani

πŸ’° Kodi: TZS 150,000 kwa mwezi
πŸ“… Malipo: Miezi 6 anapokea

πŸ“ž Wahi kuwahi kabla haijachukuliwa. Nyumba mpya, safi na ya kisasa – njoo uwe wa kwanza kuishi! πŸ”‘πŸ 

mr julius...

dalali_udsm_tz

@dalali_udsm_tz

View Listings

Similar properties in Kimara, Dar Es Salaam

mr julius...