1 Bedroom House for Rent in mbagala chamazi, Dar Es Salaam

Mbagala, Temeke, Dar Es Salaam
3 days ago
Sh. 120,000 per month
Type
House
Bedrooms
1
Nearest Road
1000m
Amenities
Standalone Electric Meter
Standalone Water Meter
Tiles
Fence
Jiko La Ndani Kwa Ndani
Description
Chumba single master bedroom kinapangishwa bei 120 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 4 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi location kwaulembo, chumba single master bedroom kina tiliz madilisha vioo, jiko la ndani kwa ndani, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk na fensi pia ipo. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba boda boda ni buku tu, Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.
