1 Bedroom House for Rent in Ubungo Kibo, Dar Es Salaam









Description
ββ
#Inapangishwa UBUNGO KIBO
π Kodi ni Tsh. 180,000/= *3 (kodi hata miezi mitatu inapokelewa)
___
______
β’ Sebule
β’ Chumba Master
* Reserve Tank
* Maji Ndani
* Umeme Sub-Miter Yako
* Ndani ya Fensi
* Parking
* Mlinzi wa kampuni yupo
#Umbali wa dakika 06 kwa miguu, barabara inafikika
π Kodi ainaambatana na hela ya tahadhari Tsh. 50k, inarudishwa unavyohama
#Inakuwa 20/09/2026, kuona na kulipia Ruksa
_____
#Malipo ya Dalali ni Tsh. 180,000/=
Kupelekwa kuona Tsh. 20,000/=















