Search

10 Bedrooms House for Sale in Mbezi Mpiji Magoe, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 80,000,000

Description

Nyumba za kibiashala au makazi zinauzwa

Nyumba zipo mbezi mpiji magoe

Nyumba ndani ya kiwanja kimoja na fensi moja zipo mbili na boycott tatu

Zote kwa pamoja zinauzwa

Nyumba kubwa Ina master Tano 5

Nyumba ndogo vyumba v2 sebule jiko public chumba master

Nje zipo boycott tatu ya kwanza Master na ya pili master na ya tatu chumba na sebule na choo Bado kuisha

Pia humo ndani angalia video vizuli Kuna mtumishi amepanga humo ndani anakanisa lake lipo ukiingi kushoto kwahiyo Kuna kiwanja kipo chenye ukubwa wa sqm 400

Vyote hivyo mmiliki anauza kwa pamoja

Kanisa anaondoka mwenyewe anauza eneo lake lote hizo nyumba kanisa

Bei mil 80

Eneo linaangalia mpiji magoe road

Hati mauziano selikali ya mtaa

Unaweza kugeuza lodge au kuzipangisha na kiwanja ukajenga tena hicho

Karibu sana mteja

Similar properties in Mbezi, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

  • Sitting Room

  • Kitchen

  • Public Toilet

4 Bedrooms House for Sale in Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

  • Dining Room

  • Kitchen

  • Public Toilet

4 Bedrooms House for Sale in Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

  • Dining Room

  • Kitchen

  • Public Toilet

3 Bedrooms House for Sale in Mbezi Beach Jogoo, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 140,000,000

  • Paving Blocks

  • Sliding Windows

  • Public Toilet

3 Bedrooms House for Sale in Mbezi Beach Jogoo, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 140,000,000

  • Paving Blocks

  • Parking Space

  • Sliding Windows

6 Bedrooms House for Sale in Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 260,000,000

  • Title Deed

  • Wardrobes

  • Kitchen Cabinets