2 Bedrooms Apartment for Rent in Chidachi, Dodoma
Chidachi, Dodoma
2 months ago
Sh. 350,000/month
Description
APARTMENT NZURI ZINAPANGISHWA β CHIDACHI, DODOMA
π Mahali: Chidachi, Dodoma
π° Kodi: Tsh 350,000/= (Malipo ya miezi 4 mbele)
Muundo:
β
Vyumba 2 vya kulala (Vyote Master)
β
Sebule kubwa
β
Jiko kubwa
β
Public Toilet
Huduma:
β
Umeme wa kujitegemea
β
Maji ya kisima yanapatikana muda wote
β
Electric Fence kwa usalama
β
Jirani sana na usafiri
π Mawasiliano:
Karibuni Bupalu Real Estate
Tunakupatia nyumba bora kwa makazi yenye usalama na mazingira mazur











