2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbezi Beach (Makonde upande wa Juu), Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,000,000 per month

Type

Apartment

Bedrooms

2

Amenities

Parking Space
AirBnb
Public Toilet
Heater
In a Compound
Near Beach

Description

🏡 2-Bedroom Apartment for Rent – TZS 1,000,000 📌

✨ Furahia maisha mazuri Mbezi beach Makonde katika apartment yenye huduma za kipekee! ✨

📌 Maelezo ya Nyumba:

✅ Vyumba 2 ( 1 Masters)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko zuri lenye makabati
✅ Public Toilet
✅ Jiko la kupikia
✅ Kwenye Compound zipo 2

📍 Mahali:

📌 Mbezi Beach (Makonde upande wa Juu🔥)

📌 Huduma Nyingine:

✔ Parking inapatikana
✔ Full AC
✔ Heater available

💰 Masharti ya Malipo:
📌 Kodi: TZS 1,000,000 kwa mwezi
📌 Malipo: Miezi 6

💰 Gharama Nyingine:

🔹 Service charge: TZS 30,000 (inalipwa mara moja tu)
🔹 Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja

📞 Kwa mawasiliano zaidi:
📲 Piga/WhatsApp: +255692932076

 Fuatilia ukurasa wetu wa Instagram dalali_empiretz5 — tunapost nyumba mpya kila siku, zenye picha na maelezo kamili ili kukurahisishia maamuzi