2 Bedrooms House for Rent in Kibada, Dar Es Salaam
Kibada, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 700,000/month
Description
🏡 CLASSIC HOUSE INAPANGISHWA – KIGAMBONI KIBADA 🏡
Wahi mapema upate nyumba nzuri ya kisasa!
❄️ Full AC
✅ Vyumba 2 vya kulala
✅ Kimoja ni Master Bedroom
✅ Sebule
✅ Jiko la ndani
✅ Iko ndani ya fensi
✅ Ulinzi wa kutosha
✅ Mazingira mazuri na salama
💰 Kodi: Shilingi 700,000 kwa mwezi
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona nyumba.
#ClassicHouse #NyumbaInapangishwa #Kibada #Kigamboni #FullAC FencedHouse RentalHouse DarEsSalaam















