2 Bedrooms House for Rent in Mbezi Bichi, Dar Es Salaam
Mbezi, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 370,000/month
Description
Nyumba hii ni
Kubwa ukubwa ni vyumba v 2 kulala kimoja ni masta kubwa
Sebule ipo kubwa sana
Jiko lipo kubwa sana maji mita yako pekeyako
Luku yako pekeyako
Maji mita yako ya kodi sh laki 370 //👈👈👈
Ilipo njia ya mbezi bichi kituo ni makonde
Umbali ni dakika 20
Kwenye fensi geti lipo kubwa
#















