3 Bedrooms Apartment for Sale in Kisota Ushwani, Dar Es Salaam

Description
🏢 APARTMENTS ZINAUZWA – KIGAMBONI, KISOTA USHWANI
Fursa bora ya uwekezaji katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni!
✅ Jumla ya Apartments 3:
• Apartments 2 zenye Vyumba 3 vya kulala, Sebule, Dining na Jiko
• Apartment 1 yenye Vyumba 2 vya kulala, Sebule na Jiko
✅ Apartments zote zina Full AC
✅ Zinaingiza mapato ya uhakika kila mwezi
💰 Mapato ya Kodi kwa Mwezi:
• Apartments mbili za vyumba 3: TSh 700,000 kila moja kwa mwezi
• Apartment moja ya vyumba 2: TSh 600,000 kwa mwezi
📈 Jumla ya Mapato ya Kodi: Zaidi ya TSh 2,000,000 kwa mwezi
📄 Sifa za Mali:
• Eneo limepimwa rasmi
• Lina Hati Kamili ya Wizara
📍 Umbali:
• Kilomita 1 kutoka Barabara Kuu ya Lami
• Kilomita 7 kutoka Ferry
• Kilomita 6 kutoka Daraja la Nyerere
💰 Bei: TSh Milioni 350
Mali hii inafaa sana kwa wawekezaji wanaotafuta mapato ya kodi ya haraka pamoja na ongezeko la thamani ya uwekezaji kwa muda mrefu katika eneo la Kigamboni linaloendelea kukua kwa kasi.
📞0769554221
#trendingvideo #istagram #realestatemarket #realestateagent #trendingaudio






