3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 450,000

Type

House

Bedrooms

3

Description

๐Ÿ”ฅ STAND ALONE YA FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA

โž–โž–โž–โž–โž–

๐Ÿ“ Kimara Korogwe
๐Ÿ•‘ Umbali wa dakika 8โ€“10 kwa miguu kutoka Stendi ya Mwendo Kasi
Usafiri: Boda Tsh 1,000 kutoka stendi hadi eneo la nyumba.

SIFA ZA NYUMBA

๐ŸŒฒ Vyumba vitatu (kimoja Master)
๐ŸŒฒ Sebule kubwa
๐ŸŒฒ Dining
๐ŸŒฒ Jiko
๐ŸŒฒ Choo cha familia ndani
๐ŸŒฒ Umeme & maji inajitegemea
๐ŸŒฒ Maji yanatoka masaa 24
๐ŸŒฒ Fensi ya michongoma & parking kubwa
๐Ÿ‘‰ Nyumba hii kubwa ipo kwenye ukarabati wa ndani na nje ili kumpa mteja mwonekano mzuri na wa kisasa. Ikikamilika itakuwa safi, nadhifu na ya kupendeza sana kwa matumizi.

GHARAMA
๐Ÿ”ท Kodi: Tsh 450,000/= kwa miezi 6
๐Ÿ”ท Malipo ya dalali: Tsh 450,000/=
๐Ÿ”ท Service Charge: Tsh 15,000/=

___________

๐Ÿ“ž
#Piga_simu:

0712528820
0685221354

#Follow_us ๐Ÿ™
Karibu Sana Mteja ๐Ÿ˜Š