3 Bedrooms House for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Type
House
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Nearest Road
2km — Morogoro Road
Description
Stand Alone Kali sana inapangishwa KIMARA MWISHO
Ni nyumba inayojitegemea kwenye fensi peke yake
Ina vyumba vitatu vya kulala vikubwa sana
Chumba kimoja ni master kubwa sana
Sebule kubwa sana
Dining
Jiko zuri full makabati
Store ya kuweka chakula
Public toilet
Reserve SIM TANK
Umeme na maji unajitegemea
Paving blocks
Ipo peke yake ndani ya fensi
Bei ni 500,000 × 6
Pamoja na pesa ya tahadhari 250,000 ya kulinda nyumba incase hujaalharibu kitu unarudishiwa
Ipo KIMARA MWISHO upande wa kulia kama unaelekea Mbezi hii barabara mpya wanayoweka zege
Na umbali ni km 2 tu kutoka Morogoro Road
Bajaji, Daladala na Taks za kuchangia zipo nyingi
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Karibuni sana
0712656027















